Micah 1:3-4

Hukumu Dhidi Ya Samaria Na Yerusalemu

3 aTazama! Bwana anakuja kutoka mahali pake;
anashuka na kukanyaga
mahali palipoinuka juu pa dunia.
4 bMilima inayeyuka chini yake
na mabonde yanagawanyika
kama nta mbele ya moto,
kama maji yatiririkayo kasi
kwenye mteremko.
Copyright information for SwhNEN